Msaada: Vitu gani vikikatwa mwilini mwa binadamu haviumi?

Iduguye

Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Kuna vitu gani katika mwili wa mwanadamu ambavyo vikikatwa hawezi kuumia.
 
Kucha,na nywele za aina zote mkuu...
 
appendix,na manyonyo kwa wanaume...
 
na hii kama wewe ni ccm haina umuhimu kwako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…