gifted mind
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 344
- 202
Habari za muda huu wanajamvi,naomba kujuzwa kwa wale wenye uzoefu ni vituo/makampuni ya mafuta ambavyo wanauza mafuta yenye quality nzuri (bila uchakachuzi).,lengo ni kufanya injini iwe na maisha marefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app