gifted mind
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 344
- 202
Bila shaka utakuwa umenunua gari yako ya kwanza...Habari za muda huu wanajamvi,naomba kujuzwa kwa wale wenye uzoefu ni vituo/makampuni ya mafuta ambavyo wanauza mafuta yenye quality nzuri (bila uchakachuzi).,lengo ni kufanya injini iwe na maisha marefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio boss nina ka ISTBila shaka utakuwa umenunua gari yako ya kwanza...
Hongera sana...
Hongera sana, katunze kakutunze.
Uzuri wa magari ya Mjapan sio sensitive kwa mafuta Machafu/yaliyochakachuliwa kama Mjerumani. Hayo ma BMW hayachelewi kuzima ukiweka mafuta fake.
Asante kwa taarifa mkuuUzuri wa magari ya Mjapan sio sensitive kwa mafuta Machafu/yaliyochakachuliwa kama Mjerumani. Hayo ma BMW hayachelewi kuzima ukiweka mafuta fake.