shangwe1 JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 448 Reaction score 362 Sep 6, 2018 #1 Wadau msaada kwa anaefahamu kuhusu vitz old model nikiwasha AC inaishiwa nguvu sasa sijajua ni tabia au ndo uwezo wake ilivyo?? Kwa anaefahamu naomba anijuze Asante
Wadau msaada kwa anaefahamu kuhusu vitz old model nikiwasha AC inaishiwa nguvu sasa sijajua ni tabia au ndo uwezo wake ilivyo?? Kwa anaefahamu naomba anijuze Asante