G Gloriamagret Member Joined Jun 12, 2023 Posts 47 Reaction score 155 Aug 2, 2023 #1 Nasikia mwili viungo vinauma, kikohozi, kubanja na sina hamu ya kula. Nitumie dawa gani please?
middle east JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 1,308 Reaction score 1,690 Aug 2, 2023 #2 Nenda hospitali ukafanyiwe medical check up na daktari na ndiye atapendekeza dawa
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Aug 2, 2023 #3 Nenda hospital izo dalili too general. Ukiumwa ugonjwa wowote izo ni dalili za mwanzo. Watakuambia una Ghono apa utachanganyikiwa.
Nenda hospital izo dalili too general. Ukiumwa ugonjwa wowote izo ni dalili za mwanzo. Watakuambia una Ghono apa utachanganyikiwa.
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 16,388 Reaction score 51,970 Aug 2, 2023 #4 Nenda tu hospitali maana madaktari wa humu.... 😌😌
Vanellope Member Joined Nov 28, 2019 Posts 64 Reaction score 179 Aug 2, 2023 #5 Nenda hospitali mkuu, rafiki angu aliumwa viungo akawa hawezi hata kuinuka kitandani baada ya kulala ilichukua mda sana kuja kujua alichokuwa anaumwa sema hakuishia pazuri. Wahi wahi vipimo
Nenda hospitali mkuu, rafiki angu aliumwa viungo akawa hawezi hata kuinuka kitandani baada ya kulala ilichukua mda sana kuja kujua alichokuwa anaumwa sema hakuishia pazuri. Wahi wahi vipimo
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Aug 2, 2023 #6 Maumivu yakizidi mwone dakitari
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,113 Reaction score 8,610 Aug 2, 2023 #7 Gloriamagret said: Nasikia mwili viungo vinauma, kikohozi, kubanja na sina hamu ya kula. Nitumie dawa gani please? Click to expand... tumefikia hapa kweli? Upo mbali na kituo cha Afya?
Gloriamagret said: Nasikia mwili viungo vinauma, kikohozi, kubanja na sina hamu ya kula. Nitumie dawa gani please? Click to expand... tumefikia hapa kweli? Upo mbali na kituo cha Afya?