Msaada viza ya Dubai (UAE)

Msaada viza ya Dubai (UAE)

Khalid91

Member
Joined
Feb 2, 2020
Posts
61
Reaction score
43
Wakuu habarini?

Kwa waliowahi kwenda Dubai from Tanzania utaratibu wa visa uko vipi? embassy wamesema hawatoi ila diplomatic visa pekee, sasa naweza kukata mwenyewe online? Au lazima nitumie travel agencies? waiting time? processing time?

Naombeni mnijuze
 
Embassy hawatoi kivipi mkuu? Ulienda ukakuta hawatoi ..maana raia wanapata visa hata juzi kuna mademu wawili wamepewa visa.
 
Siku hizi mambo yanafanyikia online, ingia kwenye mtandao uombe kuna fomu utajaza na kufuata maelekezo.
 
Itakuwa rahisi sana kupata ukitumia agency. Kama huna nikupe recomendatio.
Kwa hao visa utapata within 3 days
 
mkuu kwa visa za dubai wepesi kabisa tafuta travelling agencies zitamaliza tatizo lako
 
Back
Top Bottom