Msaada Vmware

Msaada Vmware

JuaKali

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
776
Reaction score
118
Nimekuwa nikitumia vmware kwa muda kufanya majaribio ya network / assignment mbalimbali sasa kuna tatizo limetokea ambalo sijaweza kulitatua kwa wiki sasa. Kila ninapojaribu ku create Virtual Machine napata msg "There is a problem with the following fields: The datastore name is required. " Kabla ya kuleta huo wazimu server yangu ilikuwa inarun vizuri kabisa nimeinstall 9 virtual machine running Server 2003 / 2008 / Ubuntu / XP nk. Sasa waungwana hiyo datastore name ntaisolve vipi? Kuna kozi ya Exchange server naianza leo ambayo ntahitaji saaana hii vmware, so pls help me out if you can. Natanguliza shukruni.
 
Gonga 'create new datastore' halafu elekeza kwenye folder lotote ndani ya drive unayotaka kutumia. Zaidi angalia hapa

¬K
 
@K_U_L_i asante sana nime add Datastore kila kitu kimetulia. Thanks alot....
 
Back
Top Bottom