habari, me nmegraduate sheria juz juz tu, nlwah kusikia tetesi kwenye daladala kwamba vodacom pale mliman city kuna nafasi za kumwaga za customer care ila wanalipa mshahara mdogo, jaman kwa mwenye details ni kwel? me natafuta kaz hata ya lak na nusu kwa mwez nafanya
Vodacom customer care mshahara wao ni 500,000 tshs kasoro 5000, that means ni 495,000 /= tshs, hiyo ni mpaka mara ya mwisho niliambiwa na rafiki yangu anayefanya huko, na hiyo ilikuwa July this year, kwa wewe unayeanza si mbaya kwa hela hiyo,itakusaidia kuipendezesha CV yako na hata kuweza pata nafasi ya kazi kwingine, mwanzo mgumu mpendwa, just nenda, na kwa urahisi peleka CV yako kwa erolink
ALL THE BEST AND GOOD LUCK
jinsi ya kupata huo mchongo wa kuingia ndo ki2 kinacho hitajika!
kuna dada akiingia pale km wewe 2007 alikuwa na degree ya sheria, after six month akapata zali akahamishiwa kitengo cha sheria cha voda mpaka leo yupo! so usikate tamaa kwa kuanzia si pabaya
Duh!!!!!!! unashindana na Dada?
takula kwake arifu!kuna ubaya akishindana?
4m 6 liva, vp mnanshaur niende peleka ma cv
Pia peleka Spanco wakala wa eyateli ... wao wanalipa kwa masaa yaani kila saa 12,000/-