Maisha sio magumu namna hiyo, tuhangaike na Bei za mafuta, mgao wa umeme, foleni na mambo mengine, Bado na haya ya kawaida kabisa?
Ukiona unakula vyakula hivi hivi vya kawaida na imetokea mambo hayajaenda sawa, jaribu kuwaona wataalamu lakini sifikirii itakua ni kukosa aina ya chakula.
Vyakula unavyokula kila siku vinavyokufanya uendelee kuwa hai labda nyonheza ya matunda kama hutumii matunda kila siku.
Maji lita tano unamaliza kwa siku.
Vina uhusiano mkuu.
Manii yanatakiwa yawe na ujazo.wa kutosha pamoja na yawe na uzito wa kutosha ili kuogelea kwenye bwawa la ukeni na kulifikia yai kutungisha mimba.
Kama unakula machips na broila ujue kutakuwa na walakini mahala fulani
Mbegu za maboga, karanga, Nazi , tikiti, tangawizi, limao, kitunguu maji, asali. Na ule ushibe vizuri, matunda Kwa wingi, na maji ya kutosha. Ukishindwa basi shuka daraja