Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Asante mkuu kwa maelezo. Je wewe unakifaham chochote?Maisha ya canada yapo juu sana kuzidi hata uk na us,
Fatilia video za wanaijeria ndio wataalam wa mambo haya, Neno wanalotumia kuzamia nchi nyingine ni "JAPA"
Search youtube ama google cheap colleges to japa in canada 2024, utapata tricks kibao.
Changamoto ya wabongo kuzamia nchi nyingine huwa ni lugha na wabongo kutokuwa na umoja nchi hizo licha ya kuwa wachache sana
Kwanza kabisa, wewe lengo lako ni kwenda kusoma au unataka kuzamia Canada kwa mbinu ya kesomea bila kujali kozi hata iwe degree ya kufuma kikapu ?Asante mkuu kwa maelezo. Je wewe unakifaham chochote?