Msaada Vyuo India au Malasiya!

Msaada Vyuo India au Malasiya!

web engineer

Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
55
Reaction score
0
Salam
naombeni msaada wa chuo chochote nchini India au Malasiya cha Bachelor in computer engineering.
Tafadhali kiwe na bei nafuu kwa mtanzania kama mimi.
Mchango wenu jamani nautegemea.Pia na ushauri
 
Back
Top Bottom