Msaada vyuo private vinavyotoa diploma ya md na bado nafasi ipo mwaka 2014/2015

HardMartin

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
306
Reaction score
109
wanajamvi naomba mnifahamishe vyuo vya private vnavyotoa diploma ya MD na vyenye nafasi ya masomo 2014/2015
thanks wakuu
 
ni tatizo kubwa sana kwa wanafunzi wa tz hadi anamaliza masomo hajui course/programme title za masomo ambayo angependa kusoma katika elimu ya juu.

Hakuna diploma ya MD bali ni diploma in clinical medicine ambapo ukihitimu unakuwa clinical officer.

Vyuo vya private fedha yako tu cha msingi masomo yawe bado hayajaanza. KIU KHAM, kuna chuo mwanza ila jina lake nimesahahu.

Sawa mkuu!
 
Ok ahaaaa nenda kiu ila ela unazo sijui milion 9 kwa mwaka duu
 
mkuu *TUMBO* mbona unataka kupanic?
ok! nashukuru kwa msaada wako acha nikaombe nafasi hapo ruco.
 
Kaka naona unachanganya mambo hapa na sijui kama unajua unataka kusoma kozi gani katika fani gani.

MD huwezi kuipata katika chuo chochote kile isipokuwa katika vyuo vikuu na hiyo ni digree tayari,
kama unaitaka hiyo basi utaikuta pale muhimbili kitivo cha tiba, na lazima uisotee kwa miaka 5-7.

Hizo diploma nafikiri THOTHOLITHO amekuelekeza vizui sana, jaribu pale Machame, Moshi.
 
nashukuru mkuu bt 2014/2015 bado nafasi za masomo zitakuwepo?

md..ni medical ila kwa kukusaidia fanya hima ingia ktkt website ya st jioseph university tawi la arusha nna iman utapata unachohitaji wametoa ofa kwa watu wa diploma medical..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…