Msaada: Vyuo vinavyotoa shahada za computer(evening classes)

makasha

Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
42
Reaction score
1
wakuu habari za majukumu, samahani ninaomba mnifahamishe vyuo ambavyo vinatoa degree ya ICT/IT/COMPUTER SCIENCE/BUSSNESS IT au related course, kwa Dar es salaam. lakin iwe session ya jion{ EVENING CLASSESS}.

Aksante.
 
Wakuu habari za majukumu, samahani ninaomba mnifahamishe vyuo ambavyo vinatoa degree ya ICT/IT/COMPUTER SCIENCE/BUSSNESS IT au related course, kwa Dar es salaam. Lakini iwe session ya jion{ EVENING CLASSESS}.

Aksante.
 
Open University wanayo ila muda sijui jaribu kuulizia mkuu
 
Jaribu dit ila kama una division one advance unaruhusiwa kuomba scholarship toka tcra unalpiwa kila kitu kwenye hiyo department
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…