MSAADA: VYUO VYA CERTIFICATES KTK MASUALA YA MADAWA YA BINADAMU (Pharmacy-related)

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
156
Habari zenu wakuu?
Naombeni msaada wenu mnijulishe na/ au kunipatia contacts za vyuo vinavyotoa elimu ya certificates katika masuala ya madawa ya binadamu - hasa vile vinavyotambulika na Tanzania Food & Drug Authority (TFDA).

Kuna kijana anatafuta ili akasome aweze kufungua kiduka chake cha daw baridi/ duka la dawa muhimu.

Yeye amemaliza kidato cha nne na amepata Division four ya Form Four For Four years onlyattending Dinning hall and Dancing! Si ile division ya Form Four For Four years Fighting For Food.


Nilishawahi kusikia chuo fulani ambacho kina branch mbili, moja ipo Kigamboni, nyingine ipo Mbande sijui kama kinatambulika na sijui kama bado kipo na sina contact zao (kibaya zaidi naishi Tanganyika - Southern highlangds, Tz)

Thanks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…