Mkuu kweli picha 165 alinipa kwa sharti la kuzilipia zilizozidi pia ,na nililipia picha 30 kwa makubaliano ktk mkataba kwamba zilizozidina kwamba ningalilipia 35 zilizobakia pia japo ni kwa shinikizo toka police kwa mazingira hayo nilokwasha eleza na mkataba wetu umeainisha haya kwamba picha ni 100 ndo makubaliano ili hizi 65 zimezidi na hapatakuwa na ongezeko lolote la picha tena ,si ndio nafika nyumbani kwangu baada siku 2 huyu defendat anatuma mtu nyumbania kwangu nimpe picha huyu binti ,binti kasema alikwisha mlipa pesa ,na picha zingine ameuza kwa watu wengine na zipo wako tayari kuzitoa mahakamani ,kwa hili pia mi nikamwambia umelazimisha nikulipe picha wakati huohuo unauza picha zangu kwa maana alifanya dubliceting labda ,kuna DPP jamaa yake ndo alimwandikia reply ya demand note yangu kwamba hanitambui mimi ,anamtambua mke wangu kwamba ndo alomlipa pesa za picha ,ilkhali hana mkataba na mke wangu ,wife anafahamu tu mabo yalivyo kwa kuwa issue ilikuwa ni send off yake na hata huko police nilipoitwa tulikuwa pamoja na wife wangu,tulidhani police wangeleta haki kumbe ndo hamna kitu.