oscarnyondo
Member
- Aug 14, 2011
- 10
- 0
nimechaguliwa kujiunga na masomo ya diploma in iformation technology,tatizo nililonalo ni ukosefu wa ada,sina wazazi na ndugu uwezo wao mdogo.naomba msaada wenu watanzania.mawasiliano zaidi 0659 80 65 92
kwa aliye tayri kunisaidia anaweza akanitumia m pesa kwenda 0763 414 505
au tigo pesa 0655 80 65 92
Mkuu nimehuzunika sana na matatizo yako. Tafadhali nijulishe unahitaji kiasi gani cha pesa. Kwa mawasiliano nipigie 0784572272
mungu akubariki kwa kuonesha nia ya kumsaidia huyo mtu.
Mkuu nimehuzunika sana na matatizo yako. Tafadhali nijulishe unahitaji kiasi gani cha pesa. Kwa mawasiliano nipigie 0784572272
Hakupigie vipi wewe si umtumie kwenye M-Pesa tu
Je umejaribu kwenda kwenye mashilika ya dini? Je serikali za mitaa, kijiji au kata wamekupa msaada gani? Pia onyesha kama kuna juhudi zako binafsi ulizozifanya ili watu wavutiwe na waweze kukusaidia, mwisho taja chuo ulichochaguliwa [kwa rejea] na kiasi kinachoitajika. ni ushauri tu.
ni kweli ila siwezi nikaweka full information hapa hewani kwa sababu za kiusalama na mengineyo.ila kuweka namba ya simu ili kwa ataye hitaji taarifa zaidi tuweze kuwasiliana zaidi.;no 0659 80 659 2.nachelewa kureply hizi meseji kutokana na njia nayotumia kuwasiliana kwani inanilazimu kulipia muda internet cafe ndio niweze kujibu.tafadhari kwa mwenye uwezo wa kusaidia naomba awasiliane nami popote alipo nitamfuata na vielelezo vyote ataviona.asante sanaumeongea ya maana sana mkuu,inabidi atuandikie taarifa za kutosha ili wawezeshaji wachukue nafasi yao tena ukizingatia ni ishu ya elimu.