Mosesrex
Member
- Aug 8, 2016
- 93
- 52
Nilikunya pombe kali ya Valeur chupa kubwa mwaka jana November 24
, nilikunywa kwa mkupuo bila kupumzika huku nimesimama mpaka ikafika nusu ndo nikaacha, baada ya muda kidogo nilipatwa na kichefu Chefu kikali na kutapika
, sasa kinachonishangaza hali hio imedumu mpaka leo hii tena ikiambanata na kukosa hamu ya kula, nilienda hospital nikapewa vidawa vya kuzugia lakini wapi,
NOTE: hospital sikusema kua nilikunywa pombe io kali, nilielezea hali niliyo nayo ya nausea,vomiting, na appetite loose,
sasa juzi kuna rafiki yangu nilimwelezea mkasa mzima akaniambia kua nina alcohol poisoning japo siku muelewa vizuri, na mpaka muda huu hali ipo vile vile japokua nimetumia dawa nilizopewa hospital, NAOMBENI MSAADA WAKUU
NB: MM SIO MLEVI, NILINUNUA SIKU IO KUJALIBISHA TU, WALA SIO CHAPOMBE NA WALA SIKUWAHI KUNYWA BEFORE
Sent using Jamii Forums mobile app