Msaada wa afya tafadhali

Mosesrex

Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
93
Reaction score
52
Nilikunya pombe kali ya Valeur chupa kubwa mwaka jana November 24

, nilikunywa kwa mkupuo bila kupumzika huku nimesimama mpaka ikafika nusu ndo nikaacha, baada ya muda kidogo nilipatwa na kichefu Chefu kikali na kutapika


, sasa kinachonishangaza hali hio imedumu mpaka leo hii tena ikiambanata na kukosa hamu ya kula, nilienda hospital nikapewa vidawa vya kuzugia lakini wapi,


NOTE: hospital sikusema kua nilikunywa pombe io kali, nilielezea hali niliyo nayo ya nausea,vomiting, na appetite loose,

sasa juzi kuna rafiki yangu nilimwelezea mkasa mzima akaniambia kua nina alcohol poisoning japo siku muelewa vizuri, na mpaka muda huu hali ipo vile vile japokua nimetumia dawa nilizopewa hospital, NAOMBENI MSAADA WAKUU


NB: MM SIO MLEVI, NILINUNUA SIKU IO KUJALIBISHA TU, WALA SIO CHAPOMBE NA WALA SIKUWAHI KUNYWA BEFORE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati hujaanza kunywa mbona hukuomba ushauri hapa

walevi mna shida walahi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda tena hospitali na uwaeleze bila kificho chanzo cha tatizo lako,unaficha chanzo cha tatizo huko hospitali kisha unataka upewe dawa ya kulimaliza tatizo lako?
 
Mkuu inawezekana mwili wako uko addicted Na pombe ninavyojua walevi hua si watu wakula hata kidogo ila jaribu kuacha pombe taratibu si Kwa mkupuo unaacha tu hivyo jaribu kutumia huku ukiendelea kupunguza mpaka utakapoacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni alcohol poisoning maini yako Inaelekea siku hiyo yalipata tabu sanaaa... Mwili unajihami kwa kukuzuia usile wala kunywa chochote tenaa.. Ingekuwa Gongo ningekwambia unywe Konyagii ingekusaidia sema wewe Tafuta ndimuu au nalimao ya kutosha kunywa na Sprite inasaidia kupunguza pombe mzeww[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

sema mkuu hiyo rangi ya ukuta nzurii sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran mkuu, ngoja nijaribu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…