Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu kuwa wazi,unataka mtu akupe idea ya biashara ya kilimo kwamba akuambie lima kitu fulani au unataka business proposal?
Just Send me a PM Then i promise that if it becomes successful i will do something for you really!
oh do something,t doesn't appeal to me..
HOW ABOUT WE BECOME BIZ PARTNERS???i got the idea,u have means to get money,we r square,
It's a very feasible one,and INNOVATIVE,cz isha-win kwenye forum moja hivi ya agri-business...nakuPM,if ur in Dar let's meet
okay poa,nimem-pm akiona atareply then tutajua what to do..Nami ni mdau mkubwa wa hicho kitu, tafadhali mkikutana nami mnistue maana mie hata proposal ninayo tayari ya hiki kitu changu, nami nipo dar plizi
okay poa,nimem-pm akiona atareply then tutajua what to do..
Wakuu, Kwa yeyote Mwenye idea ya Biashara za Mazao yatokanayo na Kilimo,ufugaji,n.k (Agribusines idea) Anisaidie.
Natafuta Innovative idea ili ika-Compete kupata Funds.
Ila IDEA Iwe katika Sekta ya Kilimo(Agriculture).
Nitashukuru sana kwa Msaada.
I got one...AM SERIOUS..very unique actually..but what do i get in return??????!JIELEZE HAPO kwanza then we may talk Pm
Wadau Kwa hyo mna-suggest tukutane wapi,japo for a talk...me nipo dar,muda mzuri nasugest weekend,wengine mnasemaje?
Nina andiko mradi kwa ajili ya agro-forestry business na eneo ninalo na pilot project ipo tayari. Tatizo ni funding kukamilisha kila hatua ya mradi. Kama unayo ardhi unaweza kufanya popote. Nitafute nikupe nakala bureeee kabisa. Isipokuwa unihakikishie kwamba utashirikisha wengine.
Just Send me a PM Then i promise that if it becomes successful i will do something for you really!
Mimi ninayo ya beef fattening lakini hiyo something for u ndo ilipaswa itangulie kabla ya mambo yote Mkuu! Kuna jamaa Arusha nilimwandikia moja akidai hivyo hivyo unavyodai wewe kwamba something itakuja baadaye mara baada ya kupata funds! Kwani nilimwona tena? Mpaka baada ya miezi huku akijiliza lile andiko bwana lilikwama, kuja kusikia kwa jamaa zake alipiga hela ndefu tu mpaka leo anaendelea na hao ng'ombe wa maziwa!
Tatizo la wa-TZ hatuheshimu fani za watu!