Msaada wa "agribusiness idea"

FBY 2013

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
401
Reaction score
90
Wakuu, Kwa yeyote Mwenye idea ya Biashara za Mazao yatokanayo na Kilimo,ufugaji,n.k (Agribusines idea) Anisaidie.
Natafuta Innovative idea ili ika-Compete kupata Funds.
Ila IDEA Iwe katika Sekta ya Kilimo(Agriculture).
Nitashukuru sana kwa Msaada.
 
Hebu kuwa wazi,unataka mtu akupe idea ya biashara ya kilimo kwamba akuambie lima kitu fulani au unataka business proposal?
 
I got one...AM SERIOUS..very unique actually..but what do i get in return??????!JIELEZE HAPO kwanza then we may talk Pm
 
Hebu kuwa wazi,unataka mtu akupe idea ya biashara ya kilimo kwamba akuambie lima kitu fulani au unataka business proposal?

Nahitaji kuandika Proposal kwa ajili ya Agribusiness idea,Nahitaji IDEA Ambayo ni INNOVATIVE ili nikii present kwa Wadau ikubalike na iwe na upekee,Mfano nikitaka kuanza biashara ya kufuga kuku nini kiwe cha Pekee kwangu tofauti na Wafugaji au wafanyabiashara Wengine? vilevile Biasharaya ASALI,Maziwa n.k
 
I got one...AM SERIOUS..very unique actually..but what do i get in return??????!JIELEZE HAPO kwanza then we may talk Pm
Just Send me a PM Then i promise that if it becomes successful i will do something for you really!
 
Just Send me a PM Then i promise that if it becomes successful i will do something for you really!

oh do something,t doesn't appeal to me..
HOW ABOUT WE BECOME BIZ PARTNERS???i got the idea,u have means to get money,we r square,
It's a very feasible one,and INNOVATIVE,cz isha-win kwenye forum moja hivi ya agri-business...nakuPM,if ur in Dar let's meet
 
Nami ni mdau mkubwa wa hicho kitu, tafadhali mkikutana nami mnistue maana mie hata proposal ninayo tayari ya hiki kitu changu, nami nipo dar plizi
 
Nami ni mdau mkubwa wa hicho kitu, tafadhali mkikutana nami mnistue maana mie hata proposal ninayo tayari ya hiki kitu changu, nami nipo dar plizi
okay poa,nimem-pm akiona atareply then tutajua what to do..
 
Mbona mnanufaishana wenyewe huko dar wakati jf ni world wide :disapointed:
 
Wakuu, Kwa yeyote Mwenye idea ya Biashara za Mazao yatokanayo na Kilimo,ufugaji,n.k (Agribusines idea) Anisaidie.
Natafuta Innovative idea ili ika-Compete kupata Funds.
Ila IDEA Iwe katika Sekta ya Kilimo(Agriculture).
Nitashukuru sana kwa Msaada.

Niko Moro tuwasiliane as well I got a sealed idea if you buy it we can work as a team na Nina goodwill maeneo flani ya kuwekeza kwenye agri business

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
I got one...AM SERIOUS..very unique actually..but what do i get in return??????!JIELEZE HAPO kwanza then we may talk Pm

A meeting is not bad I am into agri business As well

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nina andiko mradi kwa ajili ya agro-forestry business na eneo ninalo na pilot project ipo tayari. Tatizo ni funding kukamilisha kila hatua ya mradi. Kama unayo ardhi unaweza kufanya popote. Nitafute nikupe nakala bureeee kabisa. Isipokuwa unihakikishie kwamba utashirikisha wengine.
 
Wadau Kwa hyo mna-suggest tukutane wapi,japo for a talk...me nipo dar,muda mzuri nasugest weekend,wengine mnasemaje?
 
Wadau Kwa hyo mna-suggest tukutane wapi,japo for a talk...me nipo dar,muda mzuri nasugest weekend,wengine mnasemaje?

My dada mkikutana unishtue kuna kitu nataka nijifunze maana kuna mshkaji wangu kaenda china last week kuna kitu ameniambia nianzishe kinaelekeana na hayo mambo na wanakupatia kila kitu wenyewe, so naona idea zenu zinaelekeana na hizo! Thanx!
 
Mkuu ungeieka hapa ili tushirikishwe moja kwa moja
 
Just Send me a PM Then i promise that if it becomes successful i will do something for you really!

Mimi ninayo ya beef fattening lakini hiyo something for u ndo ilipaswa itangulie kabla ya mambo yote Mkuu! Kuna jamaa Arusha nilimwandikia moja akidai hivyo hivyo unavyodai wewe kwamba something itakuja baadaye mara baada ya kupata funds! Kwani nilimwona tena? Mpaka baada ya miezi huku akijiliza lile andiko bwana lilikwama, kuja kusikia kwa jamaa zake alipiga hela ndefu tu mpaka leo anaendelea na hao ng'ombe wa maziwa!

Tatizo la wa-TZ hatuheshimu fani za watu!
 
Kaka Nina idea tu share kidogo Kwa PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…