OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
dah this thread long tym kweli..vipi mkuu are u interested in agri business as well?..
Yeah not just interested ........ nimo kabisaaaa
Una mawazo mazuri tafuta watu wa kufanya nao kazi seriously!!!!
that's great,hongera sana..
Am working hard on it,i must admit ts really tough,zingine zinafail, but am doing all i can,tutafika tu..
Yeah kufail ni sehemu ya kujifunza pia so kama uko katika njia sahihi yaweza usikishe mia ila hata sabini sio mbaya kwa kuanzia,muda uendavyo unazoea na kupata njia sahihi zaidi!!!!!
Anza mami mengine yatafungukia ndani
ahsanteeee,so thoughtful of you..