GREAT VISIONAIRE
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 365
- 452
BMW X7Nina shida ndogo, nataka kupurchase gari, kati ya Range rover Discovery 4 ama Mercedes Benz E Class ya 2015, engine yake ni 4000cc.
Nimebajeti kutumia si zaidi ya laki moja kwa siku kwa ajili ya mafuta ya gari nitaloendesha. Shughuli zangu kusafiri ni mara chache, muda mwingi nakuwepo Dar.
Sasa ninaomba msaada kujua gari ipi itanifaa kwa bajeti yangu na foleni hii, ili kuendelea na vishughuli vyangu hapa mjini.
Aisee Uingereza wanaendesha Mkono wa kulia RHD na sio kushoto LHD.Mkuu....
Nunua gari ya RANGE ROVER STARTECH, au CADILLAC ESCALLADE, au PRADO V8 ( 2017 ) MERCEDES BENZ G-CLASS, AUDI R8, BMW X7, hizo gari zinakufaa kwa shughuli zako bajeti ya mafuta ya hizo gari sio chini ya laki 3,
ila ni vizuri ukaweka oda uingereza na wataleta kwa mfumo wa leftie yaani usukani wa gari upo kushoto.
Mkuu....
Unaienjoy na safari zako.
Sio magari yote wewe 70% ya magari yao ni leftieAisee Uingereza wanaendesha Mkono wa kulia RHD na sio kushoto LHD.