Msaada wa Ajira yoyote Halali, Dar.

Msaada wa Ajira yoyote Halali, Dar.

Mungu akufanyie wepesi.

Binafsi ni kijana kama wewe na ambacho ningependa kukuambia ni kwamba jitahidi kujenga ujuzi katika eneo ambalo unapenda kisha jifunze matumizi ya mitandao ya kijamii.

Halafu anza kutumia mitandao ya kijamii kufundisha ujuzi huo.

Inaweza kuchukua miaka mitano mpaka kusimama vizuri ila ni kitu ambacho kitakusaidia maisha yako yote.

Tenga miaka miwili kujifunza na kufanya. Ndani ya miaka mitano hautakuwa kama ulivyo leo na vyeti utavifungia kabatini.

Unaweza kama ukiamua.

Kwasasa Mungu akupe hitaji la moyo wako.
 
Hivyo unavyomshauri huyu jamaa, atashindwa kwasababu ni lazima pesa awe nayo... Fikiria mtu anatafuta kazi yeyote ya halali.. Ujue tayari maji yapo shingoni, maana yake hata hela hana.. Afu wewe unamshauri ishu zinazotaka pesa

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Upo sahihi mkuu, Ila kuandika hivyo haina maana kila mtu atakaye kuja kwangu kutaka kufahamu hayo nitamchaji pesa.

Kuna mtu anakuja na anaonyesha nia ya dhati ya kutaka kujifunza na kufanyia kazi Ila uwezo hana, ninao watu wa aina hiyo ambao huwa nawapa muongozo bure bila malipo.

Anaye elewa nini maana ya maisha na umuhimu wa connection hawezi kuona tabu kutoa nauli yake tukaonana tukaongea na kuanza kumpa muongozo kishkaji kabisa.

Siyo kila mtu anayo nia ya dhati ndiyo maana sijaandika kuwa ni BURE ili kuchuja makundi hayo.

Mimi ni kijana, napambana pia naelewa uhalisia wa maisha.
 
Back
Top Bottom