Hivyo unavyomshauri huyu jamaa, atashindwa kwasababu ni lazima pesa awe nayo... Fikiria mtu anatafuta kazi yeyote ya halali.. Ujue tayari maji yapo shingoni, maana yake hata hela hana.. Afu wewe unamshauri ishu zinazotaka pesaMungu akufanyie wepesi.
Binafsi ni kijana kama wewe na ambacho ningependa kukuambia ni kwamba jitahidi kujenga ujuzi katika eneo ambalo unapenda kisha jifunze matumizi ya mitandao ya kijamii.
Halafu anza kutumia mitandao ya kijamii kufundisha ujuzi huo.
Inaweza kuchukua miaka mitano mpaka kusimama vizuri ila ni kitu ambacho kitakusaidia maisha yako yote.
Tenga miaka miwili kujifunza na kufanya. Ndani ya miaka mitano hautakuwa kama ulivyo leo na vyeti utavifungia kabatini.
Unaweza kama ukiamua.
Kwasasa Mungu akupe hitaji la moyo wako.
Upo sahihi mkuu, Ila kuandika hivyo haina maana kila mtu atakaye kuja kwangu kutaka kufahamu hayo nitamchaji pesa.Hivyo unavyomshauri huyu jamaa, atashindwa kwasababu ni lazima pesa awe nayo... Fikiria mtu anatafuta kazi yeyote ya halali.. Ujue tayari maji yapo shingoni, maana yake hata hela hana.. Afu wewe unamshauri ishu zinazotaka pesa
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app