Habarini za leo ndugu zangu, mimi ni binti wa miaka24, Elimu yangu ni degree ya Mass communication in public relations and marketing Naombeni msaada wa kaziš yoyote ile ambayo ni halali iwe ya professionalism yangu au kazi yoyote ya kawaida Dukani, viwandani, ofisini au kokote kule.