Msaada wa Ajira

3435

New Member
Joined
Dec 29, 2024
Posts
1
Reaction score
2
Habarini za leo ndugu zangu, mimi ni binti wa miaka24, Elimu yangu ni degree ya Mass communication in public relations and marketing Naombeni msaada wa kazi🙏 yoyote ile ambayo ni halali iwe ya professionalism yangu au kazi yoyote ya kawaida Dukani, viwandani, ofisini au kokote kule.
 
Kuna group la whasap huwa wanatangaza ajira sana binafsi! Nitakutumia link ni imani yangu utapata
 
Kazi halali ya professionalism yako ndo gani hiyo ewe binti mwenye digrii ?
 
Dah! Ajira ni tatizo kubwa saana yatupaswa tujiongeze jaman hamna namna,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…