Msaada wa anayeijua musoma sekondari.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Habari zenu wadau JF.?Nina ndugu yangu kachaguliwa kwenda kusoma MUSOMA form VMchepuo wa HGE.
Sasa nimejaribu kuulizia hiyo MUSOMA ni shule ipi Marasekondari au MUSOMA TECH SEC..? Naomba msaada kwa anayejua walipoandika MUSOMAwana maanisha shule ipi? Nimeambiwa hakuna shule inayoitwa MUSOMA. Ikiwezekananipate na contact zao. Natanguliza shukrani.!
 

Acha uzembe wa fikra wewe huyo kachaguliwa musoma tech ipo mkoani mara wilaya musoma mjini mtaa nyakato
 
Asante kwa maelezo,kumbuka huwezi kujua kila kitu na kuuliza sio Ujinga/Uzembe.
 
Musoma tech ndo hiyo hiyo musoma sekondari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…