Msaada wa anayeweza kunishika mkono kwenye biashara.

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Posts
5,258
Reaction score
22,552
Natafuta mtu wa kunishika mkono kwenye kuanza biashara.mtaji wangu ni mdogo tu kama 1,400, 000/=.sichagui biashara kikubwa iwe inaingiza tu ela.

Matapeli kaeni mbali na hii post maana sijatoka bush jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

0749247920.
 
Ukiingia huko kwenye biashara na kazi za Umeme atakua anatufanyia nani?
 
Natafuta mtu wa kunishika mkono kwenye kuanza biashara.mtaji wangu ni mdogo tu kama 1,400, 000/=.sichagui biashara kikubwa iwe inaingiza tu ela.

Matapeli kaeni mbali na hii post maana sijatoka bush jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

0749247920.
hata biashara yenyewe unayotaka fanya hujiui?

kalale aisee
 
una hela na huna hata idea uifanyie biashara gani huna hata 1 yani
 
Natafuta mtu wa kunishika mkono kwenye kuanza biashara.mtaji wangu ni mdogo tu kama 1,400, 000/=.sichagui biashara kikubwa iwe inaingiza tu ela.

Matapeli kaeni mbali na hii post maana sijatoka bush jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

0749247920.
Endelea kufanya hiyo biashara iliyokufanya upate 1.4m au ni za urithi?
 
Back
Top Bottom