mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Ukiingia huko kwenye biashara na kazi za Umeme atakua anatufanyia nani?Natafuta mtu wa kunishika mkono kwenye kuanza biashara.mtaji wangu ni mdogo tu kama 1,400, 000/=.sichagui biashara kikubwa iwe inaingiza tu ela.
Matapeli kaeni mbali na hii post maana sijatoka bush jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0749247920.
hata biashara yenyewe unayotaka fanya hujiui?Natafuta mtu wa kunishika mkono kwenye kuanza biashara.mtaji wangu ni mdogo tu kama 1,400, 000/=.sichagui biashara kikubwa iwe inaingiza tu ela.
Matapeli kaeni mbali na hii post maana sijatoka bush jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0749247920.
Endelea kufanya hiyo biashara iliyokufanya upate 1.4m au ni za urithi?Natafuta mtu wa kunishika mkono kwenye kuanza biashara.mtaji wangu ni mdogo tu kama 1,400, 000/=.sichagui biashara kikubwa iwe inaingiza tu ela.
Matapeli kaeni mbali na hii post maana sijatoka bush jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0749247920.
Wewe na huyu Mahondaw ndo definition halisi ya "crazy in love" 😄😄