Msaada wa anayeweza kutambua aina ya jiwe hili

Hilo linatakiwa kuangaliwa "physically" mkuu! Kama ni dini angalia wasije wakakuibia.
 
.. American nigga kama una order ya hayo mawe 0715591141 nitafute nitakupatia hata ton 2 fasta.
Sema kuna block quartz na crystal quartz
Kuna pink quartz (rosequartz) kuna quartz zenye nguzo ndani ya rangi nyeusi na rangi ya dhahabu.
 
Last edited by a moderator:
wadau naomba kufahamishwa hayo mawe yana thamani kiasi gani..kuna sehemu nakumbuka yalikuwepo mengi
 
Wewe ni mjinga sana na wala hujielewi, jiwe lolote ni madini tofauti ni huitajika wake tu na hilo pichani siyo Gemstone ni biashara ya tons. Ndoorooobo wewe acha kuingilia field za watu without know how.

Nashukuru mkuu
 
duh jiwe lolote ni madini??? kuna tofauti ya jiwe na madini jaman..
by the way hilo jiwe kwa picha hapo ni vigumu mtu kulifanyia identification kuna itajika vitu vingi..

so kwa geologists lazma awe physical intouch na hilo jiwe..

kwa mbali kama ni likwazi flani ivi tena smokey quartz ila sio jibu la mwisho...

beba mzigo nenda nao kwa wataalamu..njoo hata udsm idara ya miamba utapewa jibu...

achana na matola...matusi kibao hana busara
 
Mkuu hiyo ni quartz...mm nyumbani nna makilo ya hayo mawe kuna wakati nlikuwa na ya chimba

we kidogo ni muelewa...hata mimi nilihisi litakuwa ni quartz japo kuna aina nyingi za kwazi kama
-blue quartz (rose)
-smokey quart.
n.k
 
wadau naomba kufahamishwa hayo mawe yana thamani kiasi gani..kuna sehemu nakumbuka yalikuwepo mengi
Haya mawe yanauzwa kwa kg hadi tons, kg sahv ni zaidi ya sh 10000/ inategemea na size ya Mawe haya.
sema soko lake kubwa wanunuzi ni wachina ...basi wana longolongo sana Ktk ununuaji
 

Nashukuru ndugu yangu nitakutafuta soon
 
...mkuu American nigga hebu fuata ushauri wa monoclinic atakusaidia, achana na Matola ana kila dalili za uj..ambazi , na ukiingia anga zake atakuua ukipata fedha. be careful kwenye kudeal na watu tunajua tabia za wahalifu hata kwa sentensi mbili tu unajua jizi na jambazi hawajifichi ukiwa makini utawabaini tu...
 
Last edited by a moderator:

Hahaaa nashukuru bro
 
Last edited by a moderator:
Ili uidentify jiwe inabidi uanze na phiysical properties(kwa macho yenye kufunzwa),light Refrective index(inapimwa na refractometer) ,specific density e.tc ,hivyo kwa uzoefu wangu wa physical property analysis hiyo ni quarts ambapo kwa kilo tena iliyo safi kuliko hii ni tshs 60,000 au around,au yaweza kuwa volcanic glass yenyewe ni madini yasiyo na dhamani kwani sio gemstone hayana specific crystal structure,in short kama ni mgodi invest italipa kuliko duka la simu ila hutokuwa bilionaire ni kazi ya kawaida kama kuchimba mchanga
 
Wewe ni mjinga sana na wala hujielewi, jiwe lolote ni madini tofauti ni huitajika wake tu na hilo pichani siyo Gemstone ni biashara ya tons. Ndoorooobo wewe acha kuingilia field za watu without know how.

With OUT know how ndo nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…