mkuu ulichofanya ni kuwa, wakati laptop yako ilipokuwa na avast 5, inaonyesha ili fanya scanning ya virus basi baada ya kumaliza ikakamata labda kirusi au spyware . na kawaida ya anti-virus zote ni kuwa zinachukua lile faili lililoharibika kwa kirusi na kulibadilisha kwa kulipa jina lingine wanati huo huo kulifanya liwe linaweza kutumiaka( hii ni kwa system files tu) ndio kusema badala ya kuwekwa kwenye program files, huwa zinahifadhiwa kwenye anti-virus husika ili kufanya system isiweze ku crush(system hault).hivyo uliweza kuendelea kutumia laptop yako kama kawaida.baada ya wewe kuamua kuitoa hiyo anti-virus yako,ukawa umeondoa hadi hilo faili muhimu kwa ajili ya kuendesha system ya computer yako,na jinsi ulivyofuta, huku futa kwenye uninstall or change a program, kwa maana nyingine umefuta baadhi ya faili tu,au imekulazimisha kufuta faili hizo tu, sasa kila ukitaka ku unstall yote ,inakataa, kila unapotaka kuweka avast 5 mpya inakataa kwasababu kawaida inahitajika kwanza ufute kila kitu kinachohusu antivirus husika ili uweze kuweka upya,kumbuka, ukifuta kila kitu, huenda computer ika CRUSH..!! na pia ,kuweka antivirus mbili kwenye computer moja itafanya ugomvi pia,kwani kila mmoja anafikiria kuwa mwenzake ni kirusi!!!!kuwa muangalifu,ingekuwa rahisi kwako, ningekushauri kuweka new operating system,na uchague anti-virus nyingine,kama alivyosema mkuu hapo juu, pia ningekushauri kutumia AVG,kwani ni ndogo lakini inaweza kuhimili mikiki ya virus sana tu, unachotakiwa ni ku update mara kwa mara.
nategemea umepata jibu sawia.