Msaada wa apartment

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Wadau habari zenu, bila poteza muda naomba msaada wa sehemu ambayo nitapata apartment ya kulipia mtu anakaa siku3 tu. Hapa DSM kuna zile apartment mtu anaweza kodi kwa siku kazaa then anasepa.

Maeneo yawe mazuri kama Upanga, Masaki, Mikocheni, Mbezi beach nk. Mtu nakuja na family akiwa na mke na watoto 2
 

Nenda palm village Mikocheni..
 
Ingia airbnb kuna apartments mpaka za dollar 11, 15, kwa siku upanga, mikocheni yani ni wewe tu
 
Sisi huku uswazi kuna madalali wa vyumba mambo ya apatimenti hatuyajui kwani kiingereza chetu ni cha kuungaunga, jaribu kwenda Namanga wanapouza maua au zile baa eneo la Morogoro stoo.
 
Contact napataje kaka nikichek kwa app sion
Ukisha fanya booking Kuna sehem ya kufanya mawasiliano na Host wa hyo apprtment kwa njia ya email na kutuma msg kupitia hyo app kibaya Zaid hii App hamna namba za sim app itakua hairuhusu kuweka namba za sim kuepusha upigaji.

Komaa nao kwa email ndo njia rahis huko ndo utaweza pata namba ya sim.
 

Shukran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…