Mkuu wana apartments kali sana afu bei poa sasa shida yao ulipie kwa card au paypal ukilipia hawana zengwe?
Kwa budget yako ni ndogo sana kupata accomodations maeneo hayo, panda dau hadi $80-$99 pee night, hapo unapata nyingi sana AirBnBIsizid $60 per night
Pale karbu Sea Cliff hotel Kuna apartment nzuri Sana siku 7 nakumbuka ilikua 1,575,000Mbezi Beach ipi kaka
Na hayo ndio maeneo yenye Apartments sasa, au unataka Wageni wake wakakae Tandale?Sema maximum unaweza lipia kiasi gani...maeneo uliyotaja sio ya mchezo mchezo
Kule kwa akina mwamunyange unaelekea upande wa kanisa katoliki la mtakatifu kizitoMbezi Beach ipi kaka
Kila kitu kina mwenyewe.Sisi huku uswazi kuna madalali wa vyumba mambo ya apatimenti hatuyajui kwani kiingereza chetu ni cha kuungaunga, jaribu kwenda Namanga wanapouza maua au zile baa eneo la Morogoro stoo.
Wewe bwana umenena.Mambo ya kufikia kwa ndugu yalishapitwa na wakati, ndugu wenyewe hamchelewi kuja kuwasimanga ndugu zenu hapa JF.ππ
Mbona rahisi?? 23000? Hiyo siyo apartment.Ingia airbnb kuna apartments mpaka za dollar 11, 15, kwa siku upanga, mikocheni yani ni wewe tu
Mimi hata nikisafiri mikoani huwa nina bajeti yangu ya hotel,Wewe bwana umenena.
Yaani nisiseme mengi ila nimejifunza kwa macho yangu kwa mtu usiende kama uwezo unao tafuta pango lako uwe unamtembelea tu japo kinafki anaweza kulaumu pia.
Sijui upotoshaji uko wapi, sehemu nilizozitaja ndiko wanapatikana madalali wa apatimenti ikiwa pamoja na Rose Garden na baa za Kinondoni makaburini, hivyo ndivyo vijiwe vya madalali wa apatimenti.Kila kitu kina mwenyewe.
Lakini kwakuwa humu wajuaji ni wengi,
Endeleeni kupotoshana tu.
Mimi hata nikisafiri mikoani huwa nina bajeti yangu ya hotel,
Mwaka jana nilitembea Arusha kuna ndugu yangu pia ni ndugu rafiki anaishi USA River alinifuata A town hotelini akanipeleka kwake kupafahamu tulikaa kwak
Sio kila mtu humu ni mtoto au kijana msela kama wewe. Yaani mzee mzima akajibane chumba cha watoto kwa kaka yake?Huko ni kuharibu pesa tu...Dar karibia kila mtu ana ndugu ukose pa kufikia ukalale hotel,kwanza ndugu zako watakushangaa
Huko ni kuharibu pesa tu...Dar karibia kila mtu ana ndugu ukose pa kufikia ukalale hotel, kwanza ndugu zako watakushangaa
Huo 'ufisi' shekheπ€£Mimi hata nikisafiri mikoani huwa nina bajeti yangu ya hotel,
Mwaka jana nilitembea Arusha kuna ndugu yangu pia ni ndugu rafiki anaishi USA River alinifuata A town hotelini akanipeleka kwake kupafahamu tulikaa kwake tukapata chakula pale baadaye tukaenda bar kula nyama na bia mpaka usiku mkubwa, akaniomba nilale USA River lakini alinilipia yeye hotel sikurudi tena kwenda kulala nyumbani kwake.
Nililala hotel kesho yake asubuhi baada breakfast ya hotel akanifuata kunirudisha Arusha hotel niliyofikia.
Huo ndio utaratibu wangu kwa sasa popote ninapokwenda hata kama nina ndugu nitakwenda kusalimia labda na kula chakula tu kutia baraka, kwanza mimi napenda kuwa huru hasa nikiwa mikoani inakuwa fungulia mbwa hivi.ππ