matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 7,968 Reaction score 19,368 Jul 11, 2023 #1 wakuu salam Ninaomba msaada wa Application kwa ajili ya kugenerate aoutocaption kwa lugha ya kiingereza. Au kwa video za lugha ya english. Ninajaribu kwa Capcut inafika mwisho inagoma. Sijaua kwa nini. Msaada kwa mwenye maarifa zaidi.
wakuu salam Ninaomba msaada wa Application kwa ajili ya kugenerate aoutocaption kwa lugha ya kiingereza. Au kwa video za lugha ya english. Ninajaribu kwa Capcut inafika mwisho inagoma. Sijaua kwa nini. Msaada kwa mwenye maarifa zaidi.
KENGE 01 JF-Expert Member Joined Mar 12, 2021 Posts 1,705 Reaction score 4,217 Jul 12, 2023 #2 Sijaelewa shida yako lakini VLC ni mwisho wa matatizo ya autocaption.pia ikishindwa kabisa inakupa fursa ya upload File la caption tafta playstore VLC for android
Sijaelewa shida yako lakini VLC ni mwisho wa matatizo ya autocaption.pia ikishindwa kabisa inakupa fursa ya upload File la caption tafta playstore VLC for android
F Folk Part II JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 419 Reaction score 490 Jul 13, 2023 #3 Tumia vidmate
F Folk Part II JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 419 Reaction score 490 Jul 13, 2023 #4 matunduizi said: wakuu salam Ninaomba msaada wa Application kwa ajili ya kugenerate aoutocaption kwa lugha ya kiingereza. Au kwa video za lugha ya english. Ninajaribu kwa Capcut inafika mwisho inagoma. Sijaua kwa nini. Msaada kwa mwenye maarifa zaidi. Click to expand... Tumia vidmate
matunduizi said: wakuu salam Ninaomba msaada wa Application kwa ajili ya kugenerate aoutocaption kwa lugha ya kiingereza. Au kwa video za lugha ya english. Ninajaribu kwa Capcut inafika mwisho inagoma. Sijaua kwa nini. Msaada kwa mwenye maarifa zaidi. Click to expand... Tumia vidmate