Msaada wa App nayoweza kuweka picha moja tu full then niadd Audio

Msaada wa App nayoweza kuweka picha moja tu full then niadd Audio

Bachelor OG

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2022
Posts
878
Reaction score
1,195
Nakuja mbele zenu kwa unyonge kabisa naomba nipewe msaada wa App ambayo naweza kuweka picha moja tu full then niadd Audio kwenye hiyo pic (pic +Audio=video)

Future zake iwe angalau inaplay video kuanzia sekunde 20+

Isiwe na water mark

App iwe kama ile lomotify ya zamani

APP NILIYOKUWA NAITUMIA YENYE SIFA HIZO ILIKUWA INAITWA STORYART NIMESHAITAFUTA SAANA PLAY STORE LAKINI SIJAIPATA
 
Niliipata ile app Na HUWA inatengeneza picha kama hivyo (pic with Audio+ caption)
 
Back
Top Bottom