W wakibisi Member Joined Jan 30, 2021 Posts 18 Reaction score 7 Mar 13, 2021 #1 Wadau msaada nitajieni app nzuri ya music ambayo ukiidownload inaplay music ya audio vizuri na hata video music sometimes inaichange kusikika kwny audio automatically nilikuwanayo niliifuta kimakosa jina nilikuwa silijui
Wadau msaada nitajieni app nzuri ya music ambayo ukiidownload inaplay music ya audio vizuri na hata video music sometimes inaichange kusikika kwny audio automatically nilikuwanayo niliifuta kimakosa jina nilikuwa silijui
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 31,559 Reaction score 42,179 Mar 13, 2021 #2 Ymusic inafetch audio YouTube, unaweza pia kuangalia kama video, ama kusikiliza na kuangalia lyrics tu, unaweza sikiliza online ama kudownload. YMusic listen YouTube video in background - Android Listen to your favorite music video in YouTube without consuming addition data for loading video stream ymusic.io
Ymusic inafetch audio YouTube, unaweza pia kuangalia kama video, ama kusikiliza na kuangalia lyrics tu, unaweza sikiliza online ama kudownload. YMusic listen YouTube video in background - Android Listen to your favorite music video in YouTube without consuming addition data for loading video stream ymusic.io
W wakibisi Member Joined Jan 30, 2021 Posts 18 Reaction score 7 Mar 13, 2021 Thread starter #3 Asante