Tafuta codecs za kisasa kama x265 zinapunguza size ya video sana, na kama ulivyoambiwa juu resolution.Habari wadau wa Jf
Wakuu nahitaji msaada wa Application ya kutumia kurekodia video na clips kwenye simu
Nahitaji App ambayo kutakua na uwezekano wa kurekodi video ya dakika mbili ila ujazo wa mb uwe angalau mb10 kushuka chini
Maana kwa kutumia video recorder ya simu aisee si mchezo video ya sekunde kadhaa unakuta ina ujazo wa mb hata arobaini kitu ambacho ni kikwazo hasa ninapotaka kuapload mtandaoni
Nawasilisha
Tafuta codecs za kisasa kama x265 zinapunguza size ya video sana, na kama ulivyoambiwa juu resolution.
Nimetest kwangu sekunde 30 zenye bitrate 100 kwa 640x480 kwa hevc (hio x265) na fps nimeshusha hadi 15 imekuja kama mb 2, so possible kupata video ya dk 2 chini ya mb 10 kwa hizi codecs za kisasa.
App hii hapa