Ducinaltum
Senior Member
- Oct 9, 2022
- 184
- 144
Sawa mkuu, ngoja nimchekNenda jukwaa la technology,kutana na huyu ,MKWAWA
Barikiwa sana mkuu, ngoja niingie nowCricfy app,
Utaipata kwenye search engine ya Google
Sio play store..
Ahsante
Hii ninayo, but haina Cast to TvLIVE FOOTBALL TV.
Unaipata kupitia search engine ya google na si play store
Mkuu, hivi Kuna connector za kuunganisha simu(type C) na TV kwa kutumia waya wa HDMI..?Njia ni kutumia computer na chrome ku cast au tumia waya hdmi ni simple, jihadhari na kudownload apk zisizoeleweka kupitia google search.
Ukifanya screen sharing moja kwa moja je?Hii ninayo, but haina Cast to Tv
Vipi ulifanikiwa chiefBarikiwa sana mkuu, ngoja niingie now
Nilimaanisha unganisha computer na tv kwa HDMI kwa uhakika.Mkuu, hivi Kuna connector za kuunganisha simu(type C) na TV kwa kutumia waya wa HDMI..?
Hii App HDMI OTG MHL checker ipo play store..?Nilimaanisha unganisha computer na tv kwa HDMI kwa uhakika.
Zipo simu zinakubali usbc ->hdmi ila sio kila simu ina huo uwezo, technojia inaitwa DisplayPort Alternate Mode simu za Galaxy S series karibia zote zinazo, Pixel 8 kwenda juu, unaweza kuuliza GPT kama simu yako inayo au jaribu app inaitwa HDMI OTG MHL Checker inawezan kukwambia kama simu yako inaweza
yes HDMI OTG MHL Checker - Apps on Google PlayHii App HDMI OTG MHL checker ipo play store..?
Hisense zinakubali miracast sio lazima utumia crime cast ama cast tech nyengine ambazo zinahitaji app husika I support. Unatumia simu gani?Hello jf experts, salama? msaada wenu tafadhali. Naomba kupata 'live epl game apps' ambazo naweza zina cast to tv. Tv nnayotumia ni Hisence, smart
Hivi Bongo ukiangalia mpira kwa kutumia internet vs kulipia ni kipi kirahisi? Bando vs kulipia bila kusahau stream quality, reability etc..Hello jf experts, salama? msaada wenu tafadhali. Naomba kupata 'live epl game apps' ambazo naweza zina cast to tv. Tv nnayotumia ni Hisence, smart
Lipia DSTV tuHivi Bongo ukiangalia mpira kwa kutumia internet vs kulipia ni kipi kirahisi? Bando vs kulipia bila kusahau stream quality, reability etc..
Bado inasumbua aiseeUkifanya screen sharing moja kwa moja je?
Bado mkuu, tatizo lipo palepaleVipi ulifanikiwa chief