Ha!ha!ha!ha!ha!....Sita sita....!
Aptitude test basically hutumika kutest someone's naturally intellectural capabilities....has kwenye very basic things!
Vitu muhimu wanavyoangalia hapo huwa ni speed ya kufikiria & kuandika....! Kama anaenda kufanya test za PWC watamtest vitu vifuatavyo;
1. English proficiency....hapa kutakuwa comprehension & questions, Grammar testing, Essay writing.
2. Very basic mathematics.....hapa asijiandae eti na ma calculus, differential, intergration, complex...No....wanauliza vile viswali vya shule ya msingi up to form four...hasa hesabu za form two ambazo zinahitaji kufikiri zaidi kuliko kukumbuka na kukariri formulas
3. Kucheza na Maumbo
Hapa utapewa diagrams mbalimbali ambazo utaambiwa uzigeuze geuze kufuatana na mfano utakaotolewa....kwa mfano anaweza kukupa mfano wa triangle ikiwa imegeuzwa base juu....sasa akakutaka na wewe ugeuze hivyo diagrams nyingine nyingi tu!
Mkubwa katika vingele vyote kinachopimwa ni IQ ya mtu inavyoweza kufikiria faster na kuact....so maswali yale nduguyangu hata hayahitaji mtu kukariri kabisa!
Kitu cha muhimu kama swali hulijui achana nalo kimbia faster kule unako yajua....!
Huwezi amini kuna watu nawajua walishanya hiyo test pale PWC wakiwa na first class but they failed this test.
Need we say more!