Za asubuhi wakuu
Naulizia kwa hapa bongo wapi nitapata battery ya simu tajwa
Naipenda huwa kanatunza chaji Sana toka 2019 mwanzoni Hadi Sasa . Week ya pili Sasa nasikia harufu Kama ya lithium battery karibu na port ya kuchajia simu na naona Kama self discharge Ni kubwa Sana ..an average of 5%/h
Matumizi full charge to 30% sio zaidi ya 5hrs ( screen on Ni 90% ya hayo masaa ) kifupi muda mwingi kioo kinawaka inatumika
Naona Kama imeanza vimba ukiangalia ncha ya kava la ku protect battery
Msaada nitapata wapi Hilo battery