Msaada wa bei ya chicken wire kwa bei ya jumla

Msaada wa bei ya chicken wire kwa bei ya jumla

Bin S

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
212
Reaction score
366
Habari za wakati huu GTs,

Naomba usaidizi ni wapi wanauza chicken wire kwa bei ya jumla.

Nipatikana Mwanza
 
Tz buana,mambo ya Simba na yanga au kula tunda kimasihara yanafagiliwa sana
 
Habari za wakati huu GTs,

Naomba usaidizi ni wapi wanauza chicken wire kwa bei ya jumla.

Nipatikana Mwanza
Kwa kweli hapa itabidi uende maduka ya ufugaji tu, kuuliza wana Simba na Yanga ni kazi bure.
 
Back
Top Bottom