ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Nipo IyungaUpo mbeya wilaya/sehemu gani
Ndugu Vingingula,asante sana kwa ushauri.Nimeamini hapa JF kuna watu wanaojali sana.Nilifikiria san kufuga,tatizo ni kuwa hapa nilipo NIMEPANGA CHUMBA NA SEBULEKama ulipo ni kwako na pana nafasi ya banda, nakushauri ufuge kuku wa kienyeji. Kwa 120000 utapata kuku wasiopungua 8 ambao baada ya mwezi mmoja wataanza kutaga. Ukiokota mayai 8 daily, ukayauza kwa 450, utakuwa na uhakika wa at least 3000 kila siku. Hapo nimeassume una banda teyari.
Kufungua biashara si tatizo.Tatizo ni biashara gani mtu afanye,ndiyo mtihani hapo.Kwa kuanzia jaribu kumfungulia mkeo biashara.
Faida ya jambo hili ni :-
1. Mtu mwenye kufanya kazi au shughuli yoyote kwa kiasi kikubwa akili pia huwa "shape".
2. Huenda akawa na kipaji au mkono wa biashara kwa maana hiyo mafanikio yake ni mafanikio ya familia.
Ok gud. Tafuta banda umfungulie shemeji mgahawa, au mpeleke shemeji veta akasomee ufundi kudarizi kisha akishahitimu mfungulie office awe anashona mashuka mnauza. Mtaji ukikua hayo mashuka mpeleke tunduma.Nipo Iyunga