Msaada wa biashara ya Asali

Msaada wa biashara ya Asali

mbwigaaaa

New Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Habari za kazi wadau? Mimi ni kijana ambaye nimeajiriwa katika mkoa wa Singida, mbali na kuajiriwa nimeona kuna fursa ya kufanya biashara ya kununua asali kwa wafugaji wadogo na kuifunga katika chupa za lita moja na nusu lita, na sasa nimefikia hatua ya kukopesheka katika taasisi moja ya mikopo hapa Singida, na mimi nategemea mshahara wangu katika kufanya hayo marejesho kwa sasa, jambo ambalo linanichanganya ni muda wa kupokea mshahara hautabiriki na itakuwaje kama nikiacha kazi jinsi ya kurejesha huo mkopo? Nawasilisha
 
Lita moja nauza shilingi Elfu kumi na nusu lita ni elfu saba
 
Mimi mwenyewe niko interested na hii biashara especially asali kutoka tabora nilianzisha uzi kitengo cha ujasiliamali ,wajasiliamali wakanikazia. Kama kuna mtu ana uzoefu naomba ushauri ,kuna watu wawili waliniambia dumu la litre 20 linauzwa kwa 65k na mwingine akaniambia 90k. Sasa gharama za usafirishaji mpaka dar ,na masoko yake yakoje?
 
Kwa hapa dar kampuni inayoshilia soko sana ni ile wanajiita Tabora Honey ila pia kuna nyengine wanajiita African Queen nao wanakuja vizuri kwasasa maana wameenda mbali zaidi, wana asali zilizochanganywa na karafuu, cinamon na pia zipo za tangawizi.

Kama utapata chupa nzuri yakuvutia asali utauza, bongo biashara yeyote inakubali inategemea na uchakarika vipi.....
 
Asante mkuu utafiti kwa ushauri wako. Lakini kama una uelewa wowote wa mahali kwa kupata parking devices achana na chupa za konyagi ,ujazo wa lita moja na nusu lita itasaidia sana ,tena zikiwa za plastic maana za chupa ziko so fragile. Msaada wako katika hilo.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Franky kama asali yako ni ile thick na ni yenyewe kabisa ni bora uweke chupa ya glass, ila kama ni hizi hizi za kawaida tumia za plastic.

Kuhusu wanapouza ni pale karibu na quality center utapata, subiri nitafute adress zao nikipata nitakupm
 
Last edited by a moderator:
Kwa hapa dar kampuni inayoshilia soko sana ni ile wanajiita Tabora Honey ila pia kuna nyengine wanajiita African Queen nao wanakuja vizuri kwasasa maana wameenda mbali zaidi, wana asali zilizochanganywa na karafuu, cinamon na pia zipo za tangawizi.

Kama utapata chupa nzuri yakuvutia asali utauza, bongo biashara yeyote inakubali inategemea na uchakarika vipi.....

Mtafiti narudi kwako tena nimekuwa impressed,maana namie niliwahi kupost pia lakini haikuwa na maleezo ya kutosha,na nimegundua kwamba wale wafanyabisahara wa Asali baadhi yao waliomo JF ndio wana coment negative za biashara hii.
Anyway,Nilikuwa nataka kufanya proccesing mwenyewe,yaani niwe na machine ya kusindika mwenywe,na pia niwe nanua chupa maalum zake zile za kigae.
-Je Mashine za kusindika asali zinapatikana wapi na wastan wa Bei zake.
-Pia chupa zile huwa zinauzwa wapi
 
Mkuu Zanzibar Spices bahati mbaya sana mimi sifanyi biashara ya asali ila nitakuambia kile nikijuacho. Baadhi ya wauzaji hawatumii mashine kwa kusindika ila wanatumia drums safi, na asali hukaa humo siku nyingi bila kuharibika (asali haiharibiki), na kuhusu chupa nimeshajibu ukienda pale karibu na quality center ata ukiuliza tu ni maeneo yale ndio nafahamu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom