Jaribu kupitia thread mbalimbali kwenye jukwaa hili la biashara..soma zote mwanzo mwisho..Nina uhakika utapata kitu..Mimi ndio kwanza mgeni humu bt anyway thanks
Habari zenu wana JF naomba ushauri kuhusu biashara. Nina mtaji kama milioni moja nahitaji kufanya biashara yoyote ambayo itaniongezea kipato zaidi. Je ni biashara gani naweza kufanya na ikanilipa haraka.