Msaada wa Blog au website

Msaada wa Blog au website

Bonge Mpya

Member
Joined
Jul 6, 2021
Posts
39
Reaction score
136
Habari zenu wanajukwaa
Naomba msaada wa nini cha kuboresha ili kuongeza namba ya CLICKS
Screenshot_20220414-202234_1649957021971.jpg
 
🤔ukiendelea na ujanja wa ku embed link kwenye picha unazopost humu kama ulivyofanya hapa basi utapata clicks za kutosha
 
Your CTR is quite low. 5% is termed to be somehow good. Chakufanya hapo deal na title na meta description. Jaribu kuandika tittle ambazo zinavutia mtu kuclick na meta description ambayo iko very appealing. Fanya ivyo kwenye post zote ambazo zipo kwenye first SERP haswa kuanzia number 4-10.
 
Asante sana... Nitafanya hivyo na nitaleta mrejesho baada ya siku kadhaa
 
Asante sana... Nitafanya hivyo na nitaleta mrejesho baada ya siku kadhaa
IMG_20220414_214334.jpg
Angalia hapo, napata impressions chache ukilinganisha na wewe, ila napata clicks nyingi kuliko wewe over 6% CTR. Nilivyokueleza hapo ndo matokeo yake.
 
Back
Top Bottom