melick odas
Member
- Jul 1, 2015
- 43
- 50
uwakalau
Asante sana , but kwa mtaji huo commission si itakua chini sana?uwakala
Hii ya kuiwekeza hapana kweli, at least kuizungusha katika biashara.Jumua mazao ya Chakula mkuu utanishukuru baadae, wapo wanaokuja kukwambia ukaiweke Voda Wekeza upate laki kwa Mwaka akili kichwani mwako
Sasa milion 4 unawekeza nini huyo jamaa kaamua kukuchangamsha tu🤣Hii ya kuiwekeza hapana kweli, at least kuizungusha katika biashara.
Hii imekaa sawa, ngoja niifanyie uchunguzi zaidifungua mabanda ya chipsi manne, 1m each.. faida ni 15-20k daily kwa kila banda. piga mara nne then mara mwezi.. unapata hela nyingi bila kuuchosha mwili.. vijana wanachekecha mzigo.
Wanawekeza wenye mzigo wa kutosha😁Sasa milion 4 unawekeza nini huyo jamaa kaamua kukuchangamsha tu🤣
Hakikisha ukimaliza uchunguzi unarudi hapa kutoa ushuhuda.. Me mpaka sahizi bado nimelala, nikiamka ni supu, konyagi mdogo na bia. then naenda kuwatembelea vijana, naondoka zangu shambani kucheki mifugo. kazi ambazo watu wanaona za kijinga zina hela sana mzee. nimesoma IT mtaala wa SISCO na nina cheti kizuri tu. ika ukikitaka nakupa maana sina kazi nacho. Kwanza sikumbuki nilipo kiweka.Hii imekaa sawa, ngoja niifanyie uchunguzi zaidi
😁😁😁uwakala
Nunua kijieneo nje ya mji kidogo kwa milioni 2 then jenga hema ya mbao au miti na mabati kwa juuHabari wakuu ,
Bado tupo kwenye mapambano ya kubadilisha Hali za uchumi wetu, nilikua naomba msaada wa mawazo ya biashara aina yoyote ambayo mtu anaweza kufanya akiwa na mtaji wa M4.
Mawazo yenu ni muhimu sana yaweze kutusaidia wapambanaji kujikwamua kiuchumi.
Ahsante.
UsikurupukeHabari wakuu ,
Bado tupo kwenye mapambano ya kubadilisha Hali za uchumi wetu, nilikua naomba msaada wa mawazo ya biashara aina yoyote ambayo mtu anaweza kufanya akiwa na mtaji wa M4.
Mawazo yenu ni muhimu sana yaweze kutusaidia wapambanaji kujikwamua kiuchumi.
Ahsante.
Umetisha mkuu, naona idea hii imesimama... lazima nirudishe feedbackHakikisha ukimaliza uchunguzi unarudi hapa kutoa ushuhuda.. Me mpaka sahizi bado nimelala, nikiamka ni supu, konyagi mdogo na bia. then naenda kuwatembelea vijana, naondoka zangu shambani kucheki mifugo. kazi ambazo watu wanaona za kijinga zina hela sana mzee. nimesoma IT mtaala wa SISCO na nina cheti kizuri tu. ika ukikitaka nakupa maana sina kazi nacho. Kwanza sikumbuki nilipo kiweka.
Ukiwa na maana gani mkuuUsikurupuke
tupo pamojaUmetisha mkuu, naona idea hii imesimama... lazima nirudishe feedback
Hii nzuri kama umekulia kwenye imani Sunday school kwa sana na vifungu vya biblia vikiwa vipo kichwani tofauti na hapo itachukua muda mkuu, sema wewe upo kwenye hatua nzuri 😁Nunua kijieneo nje ya mji kidogo kwa milioni 2 then jenga hema ya mbao au miti na mabati kwa juu
Anzisha Kanisa mdogo mdogo then ukipata nguvu kiasi kama Tsh 3M nicheck nikupe connection ya mganga mmoja yuko Kenya yeye anadeal na kuwapa watu uwezo wa kutenda miujiza (sio kama ile ya Yesu)
Ila unakuwa kama hawa manabii wetu toleo la sasa japo uwezo huo utakuwa ukiongezeka hatua kwa hatua kulingana na masharti utakayopangiwa huko.
Ila ukiwa na bidii ndani ya miaka mitano wewe ni tajiri mkubwa sana!
Mimi mwenyewe niko kwenye mchakato wa kuachana na hii biashara yangu ya majeneza nihame mkoa niende kule ambako hawanifahamu nikaanzishe kanisa huko japo nimeplan kujifua kwanza kwenye kukalili vifungu vya biblia na bla bla kadhaa maana mimi sio mwongeaji mzuri kwenye public hivyo natakiwa mazoezi kwanza
Nitalifuatilia zaidi hiliUkanda wa pwan wanapenda kushonna vitambaa fungua duka la vitambaa kama kule tandika
Pole mkuuHakikisha ukimaliza uchunguzi unarudi hapa kutoa ushuhuda.. Me mpaka sahizi bado nimelala, nikiamka ni supu, konyagi mdogo na bia. then naenda kuwatembelea vijana, naondoka zangu shambani kucheki mifugo. kazi ambazo watu wanaona za kijinga zina hela sana mzee. nimesoma IT mtaala wa SISCO na nina cheti kizuri tu. ika ukikitaka nakupa maana sina kazi nacho. Kwanza sikumbuki nilipo kiweka.