Ingia kwenye waste wateja wako hukohuko. Na faida unagawana na mtajiHabari wakuu ,
Bado tupo kwenye mapambano ya kubadilisha Hali za uchumi wetu, nilikua naomba msaada wa mawazo ya biashara aina yoyote ambayo mtu anaweza kufanya akiwa na mtaji wa M4.
Mawazo yenu ni muhimu sana yaweze kutusaidia wapambanaji kujikwamua kiuchumi.
Ahsante.
Asante sana MheshimiwaPole mkuu
Waste ndio nini..? Umeniacha hapo mkuuIngia kwenye waste wateja wako hukohuko. Na faida unagawana na mtaji
Taka ngumu zaWaste ndio nini..? Umeniacha hapo mkuu
Nambie mkuuOyaaaaa! Weee jamaa
Nashukuru mkuu, ni sahihi ukanda huu wanapenda kuvaa hasa wanawake, ngoja nifanye tafiti zaidi.Solve problem za watu wa mji wako ndio njia rahisi zaidi. Mf. Watu wa pwani wanapenda sana kuva nguo unaweza anza kufanyia utafiti hilo anza na nusu mtaji ili uwe na backup usiweke mpunga wote pia jiepushe na kupamba sana offisi na Budget kubwa hapo mzigo ndio shabaa kuu.
Pia by experience kuwoka mikate na vitafunwa naona kwa pande hizo kunalipa unaweza kuanza na baiskel au daz au vesper kusambaza na ukipata wadau kadha watakuja kuchukua mzigo alafu wakiuza wanapata gawiwo fanya research ikitiki hii inakua ndio ntolee umetoka.
Pia unaweza ingia kwenye biashara ya viungo ni uhakika unatoa mashambani like TA unaleta mjini kipindi kizuri ndio hichi au unanunua mzigo shambani/wakulima unaweka mzigo ndani bei ikipanda mwezi wa 3 na kuendelea unauza kwa bei juu hasa kipindi cha ramandani na mzigo ukiadimika.
Usijaribu huu upuuzi utapoteza hela zako bure.....siyo kazi rahisi kumanage biashara zote hzo.....hvi unawajua wabongo wewe??? watakuliza hutoaminiHii imekaa sawa, ngoja niifanyie uchunguzi zaidi
Pwani, sehemu gani (Wilaya gani)?Habari wakuu ,
Bado tupo kwenye mapambano ya kubadilisha Hali za uchumi wetu, nilikua naomba msaada wa mawazo ya biashara aina yoyote ambayo mtu anaweza kufanya akiwa na mtaji wa M4.
Mawazo yenu ni muhimu sana yaweze kutusaidia wapambanaji kujikwamua kiuchumi.
Ahsante.
Njoo nikuuzie gari uwe na usafiri kwanza mjini hpHabari wakuu ,
Bado tupo kwenye mapambano ya kubadilisha Hali za uchumi wetu, nilikua naomba msaada wa mawazo ya biashara aina yoyote ambayo mtu anaweza kufanya akiwa na mtaji wa M4.
Mawazo yenu ni muhimu sana yaweze kutusaidia wapambanaji kujikwamua kiuchumi.
Ahsante.
uko pwani ipiHabari wakuu ,
Bado tupo kwenye mapambano ya kubadilisha Hali za uchumi wetu, nilikua naomba msaada wa mawazo ya biashara aina yoyote ambayo mtu anaweza kufanya akiwa na mtaji wa M4.
Mawazo yenu ni muhimu sana yaweze kutusaidia wapambanaji kujikwamua kiuchumi.
Ahsante.
Bagamoyo mkuuuko pwani ipi
Bagamoyo mkuuPwani, sehemu gani (Wilaya gani)?
Hahaha muda wa gari bado mkuuNjoo nikuuzie gari uwe na usafiri kwanza mjini hp
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app