Nyaubikra
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 1,339
- 3,319
Hiyo picha inajieleza wakuu
Ninatafuta hako kabag original ya hiyo camera ndogo ya canon ixus kama kilivyo mana nimejaribu kuulizia mjini mana niko mkoani watu wa huko wanasema ni model ya zamani kupata original bag ni ngumu.
Kama mwenye nacho pm yangu iko wazi.
NB:Najua kuna mbadala wa hvyo ila kwa situation niliyopo ili nionekane mwaminifu kwa hawa wazazi wakoloni nisaidieni tu 😔 namna ya kukipata hako either unacho au unajua wapi vinapatikana