Msaada wa cdma kweny nokia 6720c

cc_africa

Senior Member
Joined
May 30, 2010
Posts
121
Reaction score
2
Wakuu nisaidieni. Je naweza ku2mia cdma line kwenye nokia 6720c ambayo inauwezo wa 3.5g hsdpa 10.2 mbps. Na cdma 10.2 mbps. Simu ni mpya ya mwaka 2009 mwish0‹2ni?
 
Wakuu nisaidieni. Je naweza ku2mia cdma line kwenye nokia 6720c ambayo inauwezo wa 3.5g hsdpa 10.2 mbps. Na cdma 10.2 mbps. Simu ni mpya ya mwaka 2009 mwish0‹2ni?
Mkuu, Simu yako haina uwezo wa kubeba line ya CDMA,kwani simu yako imetengenzewa kwa kutumika kwenye mitandao ya GSM.

2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900

3G Network HSDPA 900 / 1900 / 2100 HSDPA 850 / 1900 / 2100 http://www.gsmarena.com/nokia_6720_classic-2686.php#
Nokia 6720 classic - Full phone specifications
 
Wakuu nisaidieni. Je naweza ku2mia cdma line kwenye nokia 6720c ambayo inauwezo wa 3.5g hsdpa 10.2 mbps. Na cdma 10.2 mbps. Simu ni mpya ya mwaka 2009 mwish0‹2ni?

Mkuu una maana CDMA ipi? CDMA2000 au WCDMA, kama una maana ya CDMA2000 kama ya Zantel au TTCL basi hiyo simu yako haiwezi kutumika, ila kama una maanisha WCDMA basi waweza kuweka line ya Zantel, Tigo, Voda

Asante
 
Nadhani itakuwa vizuri ukisoma soma soma hizi terminological terms ujue zina maana gani

NAdhani it all depend in Provider( Simcard provider) anatumia Teknology gani but Nokia 6720 ina support WCDMA

Tembelea pia officia Nokia site http://mea.nokia.com/find-products-en/devices/nokia-6720-classic/specifications
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…