Dulla Tawakal
Member
- Sep 10, 2022
- 86
- 101
Ahsante sana kwa ushauri wako mkuuRactis imesimama.
Ingekuwa mimi ningechukua premio new model kwa mtu
Ahsante sana kwa ushauri wako ..sema hizo gari naona kama za familia sna ,,sipendi sana gari zenye body kubwaTafuta Toyota wish au Isis
Premio, alex, allion, run x, belta, ist ya cc 1490... au jiongeze ingia kwenye rav 4Ndugu zangu nina Kavitz Kangu huku Tanga Mjini ..kanasaidia kwa mizunguko Ya hapa barabara za namba ,,sasa nimevuta nguvu kidogo nilitaka nipate tena gari nyengine ndogo ya kunisaidia hata nikitaka kutoka nje ya Tanga iwe Rahisi ..nimewaza nikafikiri lakin bado nipo njia panda kwenye pendekezo la gari ipi niwe nayo ..Bajeti Yangu ni hizi hizi gari zetu za mkononi Bei(5M mpaka 10M) naomba nipewe mapendekezo wana JF ..
Japo nilikuwa nina machaguzi mengi kama ..Toyota Ractis,,Toyota sienta,,Toyota Porte,,. Naombeni nisaidie ushauri
Ahsante sana kwa ushauri wako,,lakin Rav4 ni parefu sana huko mkuuPremio, alex, allion, run x, belta, ist ya cc 1490... au jiongeze ingia kwenye rav 4
Budget yake ni 5-10m. Min nadhani zimechangamkAChukua min copper